ProZ.com translation contests »
32nd Translation Contest: "Movie night" » English to Swahili

Competition in this pair is now closed, and the winning entry has been announced.

Discussion and feedback about the competition in this language pair may now be provided by visiting the "Discussion & feedback" page for this pair. Entries may also be individually discussed by clicking the "Discuss" link next to any listed entry.

Source text in English

To say that I was compelled by Parasite from start to finish is an understatement; its filming style with tracking shots are enthralling. Having watched several Korean films during the London Korean Film Festival, I was familiar with the usual genres employed in such films but Parasite seemed to defy them all! Parasite is comedic, in a quirky way, it is also a thriller, straddles class divisions and also depicts a family tale amongst other genres and is therefore likely to appeal to all ages.

Parasite truly deserves to be watched in a cinema to appreciate its nuances and the stylish cinematography. As a summary, to avoid spoilers, Parasite tells the tale of the interaction between the Park family and the Kim’s, an unemployed family, whose contrasting worlds collide with long lasting consequences.

[...]Bong Joon-Ho manages to pique the audience’s interest with brightly lit shots coupled with the effective use of indoor space, and it is surprising to realise, after the film’s 2 hour 12 minute length, that most of the scenes occur within the Park family’s home. The mundane elements of domesticity are displayed with an intriguing perspective showcasing Bong Joon-Ho’s flair. It is a slow burner but you will revel in its beauty and ingenuity as Parasite convinces that it operates solely on one level but it is in fact multi-layered and depicts social realism with empathy and pathos.

The cast are beguiling to watch, every facial movement and action is accentuated, even the mere act of walking up or down stairs can convey hidden meaning, which the camera fragments. Levels of unease are also created by virtue of that effective use of space with unusual camera angles and dramatic weather conditions ratcheting up that sensation. There is a surreal nature to Parasite, which its score emphasises, and furthermore the film adopts elements of the absurd devised in such an ingenious way which is truly cinematic magic. Parasite’s apparent eeriness will certainly keep you riveted and would not feel alien to the Twilight Zone school of filmmaking.

The actors are very impressive and add breadth to their roles creating relatability whilst seeming effortlessly cool. When Ki-Woo and Ki-Jeong Kim were working within the Park family home as private tutors they certainly epitomised this level of nonchalant, understated authority creating an aura of mysticism with the unspoken, almost mythical, tutoring techniques employed. Quite simply, the actors Park So-Dam and Choi Woo-Sik, as Ki-Woo and Ki-Jeong, are compelling to watch in the different directions that Parasite follows and they carry these performances seamlessly thereby inviting the audience to be on their side.

[...]Parasite is a remarkable piece of extremely skilful filmmaking, it is simply a must see film, and so I am looking forward to re-watching the film on its UK general release date.

The winning entry has been announced in this pair.

There were 11 entries submitted in this pair during the submission phase, 6 of which were selected by peers to advance to the finals round. The winning entry was determined based on finals round voting by peers.

Competition in this pair is now closed.


Entries (11 total; 6 finalists) Expand all entries

Filter entries
Language variants:
Kusema nilivutiwa na filamu ya Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni hakutoshi kuelezea hali halisi niliyoishuhudia kwa kuitazama filamu hiyo; mtindo wake wa kurekodi filamu na picha za kufuatilia unasisimua. Kutokana na uzoefu wangu wa kutazama filamu kadhaa za Korea wakati wa Tamasha la Filamu la Korea huko London, nilikuwa na ufahamu wa tanzu za kawaida za muziki zinazotumiwa katika filamu hizo lakini filamu ya Parasite ilionekana kuzipiku zote! Filamu ya Parasite ni ya kuchekesha,kwa njia ya kipekee, pia ni kusisimua, inavuka mipaka ya daraja za jamii, na pia inachora hadithi ya familia miongoni mwa aina nyingine za tanzu, na kwa hiyo inaweza kukubalika kwa watu wa umri wote.

Kwa hakika filamu ya Parasite inastahili kuangaliwa kwenye sinema ili kuthamini ubora wake wa kipekee na uigizaji wa kisanii. Kimuhtasari, ili kuepuka kufichua siri za filamu, filamu ya Parasite inaelezea hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na familia ya Kim, familia isiyokuwa na ajira, ambazo dunia zao zinazotofautiana zinakutana na matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafanikiwa kuchochea hamu ya watazamaji kwa picha zenye mwangaza mzuri zinazooana na matumizi mazuri ya nafasi iliyomo ndani ya nyumba, baada ya filamu yenye urefu wa masaa 2 na dakika 12 inashangaza kugundua kwamba sehemu kubwa ya matukio yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya maisha ya nyumbani vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia ukionyesha ustadi wa Bong Joon-Ho.Ina mwendo wa taratibu lakini utafurahia uzuri wake na ubunifu wa filamu ya Parasite ikishawishi kuwa inafanya kazi kwa ngazi moja pekee lakini kwa kweli ina matabaka mengi na inachora uhalisia wa kijamii kwa hisia na huzuni.

Waigizaji wanavutia kuitazama, kila mwendo wa uso na hatua inaonekana, hata tendo la kawaida la kupanda au kushuka ngazi linaweza kutoa maana iliyofichika, ambayo kamera inapakia. Viwango vya taharuki pia vinajengwa kutokana na matumizi mazuri ya nafasi ndani ya chumba na pembe za kamera zisizo za kawaida kwenye maeneo isiyozoeleka pamoja na hali ya hewa yenye drama, ikiongeza hisia hiyo. Filamu ya Parasite ina ina mvuto usio wa kawaida, ambayo inatilia mkazo na zaidi ya hayo, filamu hii inachukua vipengele vilivyoundwa kwa njia yenye ubunifu ambayo ni mazingaombwe ya sinema ya kweli. Maajabu yanayayojitokeza kutoka uigizaji wa filamu ya Parasite utahakikisha unanatwa kuitazama na haitaonekana kama kitu kigeni kwa mtindo wa utengenezaji filamu wa shule ya Twilight Zone.

Waigizaji wanavutia sana na kuongeza upana kwenye majukumu yao, wakiunda uhusiano wa kufanana huku wakionekana kuwa na mtindo wa kupendeza bila jitihada
Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walikuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama walimu wa binafsi, bila shaka walidhihirisha kiwango hiki cha utulivu, mamlaka tulivu kuunda mandhari ya mafumbo na mbinu za kufundishia zisemwazo, karibu za hadithi, mbinu za ufundishaji zilitumika. Kwa ufupi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kuwatazama katika mwelekeo tofauti ambao filamu ya Parasite inafuata na wanaufanya uigizaji kuonekana mwepesi bila ugumu hivyo kuwavutia watazamaji kuwa upande wao.

[...]Filamu ya Parasite ni filamu ya kipekee ya kukumbukwa iliyotengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu wa uundaji wa filamu, ni filamu ambayo lazima uione, na kwa hivyo natarajia kuiona tena siku ya kutolewa rasmi nchini Uingereza.
Entry #37447 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Winner
Voting points1st2nd3rd
224 x43 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.843.93 (14 ratings)3.75 (16 ratings)
Kusema kuwa nilivutiwa sana na filamu ya Parasite kuanzia mwanzo hadi mwisho ni kushindwa kueleza uhalisia; namna ilivyotengenezwa pamoja na picha zake fuatilizi, zilivyokuwa zinasisimua. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea katika kipindi cha Tamasha la Filamu za Kikorea lililofanyika jijini London, nilizifahamu mbinu za kawaida zilizotumika kwenye filamu kama hizo lakini filamu ya Parasite ilionekana kuzipiku zote! Parasite inafurahisha, na katika namna isiyokuwa ya kawaida ni filamu ya kusisimua, ngumu kuichambua na husawiri mfululizo wa mbinu za masimulizi miongoni mwa mbinu zingine na hivyo kuifanya iwe na uwezekano wa kuwavutia watu wa rika zote.
Kwa hakika, filamu ya Parasite anastahili kutazamwa katika sinema ili kuzibaini vyema tofauti zake na sanaa zingine za upigaji picha na utengenezaji wa filamu. Kwa muhtasari, ili kuepuka wachafuzi, filamu ya Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na ile ya akina Kim, familia isiyokuwa na kazi maalumu, ambapo mazingira yao tofauti yanaibua athari za kudumu.
[...]Bong Joon-Ho amefaulu kuibua raghba ya hadhira kwa kutumia picha zenye mwanga mwingi pamoja na matumizi mengi ya nafasi ya ndani na ni jambo gumu kuutambua urefu wa muda wa filamu baada ya saa 2 na dakika 12, ambao matukio mengi yanatokea katika familia ya akina Park. Vipengele vya mazingira ya nyumbani vinaoneshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni filamu isiyokuwa ya moja kwa moja lakini utafurahishwa na uzuri na ustadi wake kwani Parasite inashawishi kuwa inafanya kazi kipekee kwa kiwango kimoja lakini kwa hakika ina filamu nyingi ndani yake na inaonesha uhalisia wa kijamii wenye hisia na huruma.
Waigizaji wanashawishi kutazama, kila mwonekano wa uso na kitendo kimesisitizwa, hata kitendo tu cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kuwasilisha maana fiche, ambayo kamera huigawa vipandevipande. Viwango vya kuwa na wasiwasi pia vimetengenezwa kutokana na matumizi mazuri ya nafasi na upigaji picha usiokuwa wa kawaida na hali mbaya ya hewa inayolingana na hisia hizo. Kuna uasilia usiokuwa wa kawaida kwenye filamu ya Parasite, ambao alama zake zinausisitiza na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya kuchekesha vilivyobuniwa kwa njia ya ustadi ambayo kwa hakika ni uchawi wa kisinema. Maajabu yanayoonekana katika filamu ya Parasite, kwa hakika yatakufanya ufurahie na usijihisi mgeni katika shule ya utengenezaji wa filamu za Twilight Zone.
Waigizaji wanavutia sana na wanakuza mawanda ya majukumu yao wakijenga uhusiano huku wakijipambanua. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim wakifanya kazi katika familia ya akina Park kama wahadhiri binafsi, kwa hakika walionesha kiwango hiki cha uwezo mdogo, duni na wakijenga hali ya fumbo lisilozungumzwa, aghalabu lisiloelezeka na mbinu zilizotumika katika ufundishaji. Kwa urahisi kabisa, waigizaji ambao ni Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia zaidi kutazama mawanda tofauti ambayo filamu ya Parasite inayazingatia na wanayafanya maonesho haya kuunganika na hivyo kuwafanya watazamaji kuvutiwa na wao.
[...]Parasite ni filamu ya kushangaza iliyotengenewa kwa ustadi mkubwa, kimsingi ni filamu inayopaswa kutazamwa na kila mtu na hivyo ninajiandaa kuitazama upya katika tarehe ya kuzinduliwa kwake nchini Uingereza.
Entry #37360 — Discuss 0 — Variant: Tanzanian
Mayolwa Nzala
Mayolwa Nzala
Tanzánia
Finalist
Voting points1st2nd3rd
194 x41 x21 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.673.54 (13 ratings)3.80 (10 ratings)
Kusema kwamba nilizamika na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kusema kwa ufupi; mtindo wake wa filamu na michoro ya kufuatilia inavutia. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilikuwa nimezoea aina za kawaida zinazotumiwa katika filamu kama hizo lakini Parasite inaonekana kuzipinga zote! Parasite ni ya kuchekesha, kwa njia ya ajabu, pia ni ya kusisimua, inavuka mgawanyiko wa daraja na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya aina nyingine na kwa hivyo inaweza kuvutia watu wa rika zote.

Parasite inastahili kutazamwa kwenye sinema kweli ili kuthamini utofauti wake na sinema ya kifahari. Kwa muhtasari, ili kuepuka uharibifu, Parasite inaelezea hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim, familia isiyofanya kazi, ambao ulimwengu wao tofauti unagongana na matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafanikiwa kuvutia hisia za watazamaji kwa mipigio yenye mwanga mwingi iliyoendana na matumizi bora ya nafasi ya ndani, na inashangaza kugundua, baada ya filamu yenye urefu wa dakika 2 saa 12, kwamba matukio mengi yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya maisha ya nyumbani vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha utajiri wa Bong Joon-Ho. Ni moto wa polepole lakini utafurahia uzuri wake na ubunifu huku Parasite inashawishi kwamba inafanya kazi katika kiwango kimoja lakini kwa kweli ina tabaka nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa huruma na huruma.

Waigizaji wanavutia kutazama, kila miondoko ya uso na tendo inasisitizwa, hata kitendo tu cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kufichua maana iliyofichwa, ambayo kamera inavunja. Viwango vya usumbufu pia vinaundwa na matumizi bora ya nafasi hiyo na pembe zisizo za kawaida za kamera na hali mbaya ya hali ya hewa ikiongeza hisia hiyo. Kuna asili ya kweli kwa Parasite, ambayo alama yake inasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inakubali vipengele vya upuuzi vilivyoundwa kwa njia ya ujanja ambayo ni uchawi wa kweli wa sinema. Ukimya wa Parasite hakika utakuweka macho na hautajisikia mgeni kwa shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji ni wa kuvutia sana na wanaongeza uwezo wa majukumu yao na kuunda uhusiano wakati wanaonekana kuwa baridi kwa urahisi. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama walimu wa faragha hakika walifafanua kiwango hiki cha mamlaka isiyo na wasiwasi, iliyojaa siri na mbinu zisizoeleweka, karibu za kichawi, za kufundisha zinazotumiwa. Kwa urahisi tu, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kutazama katika njia tofauti ambazo Parasite inafuata na wanavifanya maonyesho haya kwa urahisi na hivyo wakihamisha watazamaji kuwa upande wao.

[...]Parasite ni kazi bora ya uundaji wa filamu wenye ujuzi mkubwa, ni filamu ambayo lazima utazame, na hivyo ninatarajia kutazama tena filamu hiyo tarehe ya kutolewa kwa ujumla nchini Uingereza.
Entry #37331 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Finalist
Voting points1st2nd3rd
143 x402 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.543.46 (13 ratings)3.62 (13 ratings)
Kusema kwamba nilivutiwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kusema kidogo; mtindo wake wa uchukuzi na kurekodi ni wa kuvutia. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilikuwa na ufahamu wa aina za kawaida zinazotumika katika filamu hizo, lakini Parasite ilionekana kuzipuuza zote! Parasite ni ya kuchekesha, kwa njia ya kipekee, pia ni ya kutisha, inavuka mipaka ya tabaka na pia inaonyesha hadithi ya familia miongoni mwa aina nyinginezo, na kwa hiyo inaweza kukubalika na watu wa umri wote.

Parasite inastahili kabisa kutazamwa sinemani ili kuthamini undani wake na uandaji sinema wa kuvutia. Kwa mukhtasari, ili kuepuka kuharibu uhondo, Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim, familia isiyokuwa na ajira, ambazo ulimwengu wao tofauti unagongana na matokeo makubwa ya kudumu.

Bong Joon-Ho anafanikiwa kuchochea hamu ya hadhira kwa picha zenye mwangaza mzuri zinazounganishwa na matumizi yenye ufanisi wa nafasi za ndani, na ni kushangaza kugundua, baada ya muda wa filamu wa saa 2 na dakika 12, kwamba sehemu kubwa ya matukio yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Mfumo wa kawaida wa maisha ya ndani unaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia ukionesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni filamu yenye mwendo wa pole, lakini utafurahia uzuri wake na ubunifu huku Parasite ikionyesha kwamba inafanya kazi kwa kiwango kimoja tu, lakini ukweli ni kwamba ina tabaka nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa hisia na huruma.

Wasanii wanavutia kutazama, kila mwendo wa uso na hatua unasisitizwa, hata tendo la kawaida la kupanda au kushuka ngazi linaweza kueleza maana iliyofichika, ambayo kamera inagawa. Viwango vya wasiwasi pia vinajengwa kwa kutumia nafasi hiyo kwa kutumia pembe za kamera zisizo za kawaida na hali ya hewa ya kuvutia ikiongeza hisia hizo. Kuna asili ya kipekee katika Parasite, ambayo ala yake inasisitiza, na zaidi ya hayo, filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyoundwa kwa njia ya akili ambayo ni uchawi wa kweli wa sinema. Kutisha kwa wazi kwa Parasite bila shaka itakufanya uwe makini na hautahisi kama kitu cha ajabu katika shule ya kutengeneza filamu ya Twilight Zone.

Wasanii wanavutia sana na wanaweka upana katika majukumu yao, wakiongeza uhusiano wa kuvutia huku wakionekana kuwa wa kuvutia bila jitihada. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama walimu binafsi, kwa hakika walitafsiri kiwango hiki cha mamlaka kwa kutojali, wakiunda anga ya siri na njia za kufundishia zisemwazo, zenye hadithi karibu na mithili ya uwazi. Kwa ufupi, wasanii Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kuangaliwa katika mwelekeo tofauti ambao Parasite inafuata, na wanachukua hizi michezo kwa urahisi, hivyo kuwaalika wasikilizaji kuwa upande wao.

Parasite ni kipande cha filamu kinachovutia sana kilichotengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu, ni filamu ambayo lazima uione, na kwa hiyo ninatarajia kutazama tena filamu hiyo siku ya kutolewa rasmi nchini Uingereza.
Entry #37084 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
71 x41 x21 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.523.79 (14 ratings)3.25 (12 ratings)
Kusema kwamba nilivutwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kidogo; mtindo wake wa kurekodi na picha zake za kufuatilia zinanasa kabisa. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kiajemi wakati wa Tamasha la Filamu la Korea la London, nilikuwa na ufahamu wa aina za kawaida zinazotumiwa katika filamu hizo, lakini Parasite ilionekana kuzipinga zote! Parasite ni ya kuchekesha, kwa njia ya kipekee, ni pia filamu ya kutisha, inavuka mipaka ya darasa na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya aina zingine na kwa hiyo inaweza kukubalika kwa watu wa umri wote.

Parasite kwa kweli inastahili kutazamwa sinema ili kuthamini undani wake na uigaji wake wa kistaarabu. Kwa muhtasari, ili kuepuka kufichua mambo, Parasite inaeleza hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim, familia isiyofanya kazi, ambazo ulimwengu wao tofauti unagongana na matokeo ya kudumu.

[...] Bong Joon-Ho anafanikiwa kuvuta hamu ya hadhira na picha zenye mwangaza mwingi pamoja na matumizi mazuri ya nafasi za ndani, na ni kushangaza kugundua, baada ya saa 2 na dakika 12 za filamu, kuwa sehemu kubwa ya matukio yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Mambo ya kawaida ya maisha ya nyumbani yanapambwa na mtazamo wa kuvutia unaonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni taratibu lakini utajivunia uzuri wake na ubunifu wakati Parasite inavyothibitisha kuwa inafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini ni safu nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa hisia na huruma.

Wasanii wanavutia kwa kuangalia, kila harakati ya uso na hatua inaonekana, hata kitendo cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kuwasilisha maana iliyofichwa, ambayo kamera inapasua. Viwango vya wasiwasi pia vinaundwa kwa kutumia nafasi kwa kutumia pembe za kamera zisizotarajiwa na hali ya hewa kali, ikiongeza hisia hiyo. Kuna asili ya kisasa kwa Parasite, ambayo alama yake inasisitiza, na zaidi filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyoundwa kwa njia ya kisasa ambayo ni uchawi wa kweli wa sinema. Kuogofya kwa Parasite kunaweza kukuweka bila kuchoka na haitaonekana kigeni kwa shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Wasanii wanavutia sana na wanachochea upana wa majukumu yao, wakiumbua uhusiano huku wakionekana kuwa watulivu. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama waelimishaji binafsi, kwa hakika walionyesha kiwango hiki cha utulivu, mamlaka isiyotamkika, wakiunda anga ya uchawi na mbinu za kufundisha zisemwazo, zenye kima. Kwa ufupi, wasanii Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kuangalia katika mwelekeo tofauti ambao Parasite inafuata, na wanachukua kwa ufasaha uigaji huo, hivyo kuwaalika hadhira kuwa upande wao.

[...] Parasite ni kipande cha ajabu cha utengenezaji wa filamu wenye ustadi sana, ni lazima kuiona filamu, na kwa hiyo natarajia kutazama filamu wakati wa tarehe ya kutolewa kwa jumla nchini Uingereza.
Entry #36814 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Finalist
Voting points1st2nd3rd
402 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.503.46 (13 ratings)3.54 (13 ratings)
Kusema kwamba nililazimishwa na Parasite tangu mwanzo hadi mwisho ni ujinga; mtindo wake wa kurekodi filamu na picha za kufuatilia unasisimua. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilifahamu aina za kawaida zinazotumika katika filamu kama hizo lakini Parasite walionekana kuzipinga zote! Vimelea ni vichekesho, kwa njia ya ajabu, pia ni msisimko, mgawanyiko wa tabakIa na pia huonyesha hadithi ya familia miongoni mwa aina nyinginezo na kwa hivyo kuna uwezekano wa kuvutia watu wa umri wote.

Kimelea kweli anastahili kutazamwa katika sinema ili kufahamu nuances yake na sinema maridadi. Kwa muhtasari, ili kuepuka waharibifu, Vimelea husimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na akina Kim, familia isiyo na kazi, ambayo ulimwengu wao tofauti hugongana na matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafaulu kuibua hamu ya hadhira kwa picha zenye mwanga mwingi pamoja na matumizi bora ya nafasi ya ndani, na inashangaza kutambua, baada ya muda wa saa 2 na dakika 12 wa filamu, matukio mengi kutokea. ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya unyumba vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni kichomaji polepole lakini utafurahishwa na uzuri na ustadi wake kwani Vimelea husadikisha kwamba kinafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini kwa kweli kina tabaka nyingi na kinaonyesha uhalisia wa kijamii kwa huruma na njia.

Waigizaji wanashawishi kutazama, kila harakati za uso na hatua zinasisitizwa, hata kitendo tu cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kuwasilisha maana iliyofichwa, ambayo kamera hugawanyika. Viwango vya kutokuwa na wasiwasi pia hutengenezwa kwa sababu ya matumizi hayo mazuri ya nafasi yenye pembe zisizo za kawaida za kamera na hali mbaya ya hewa inayochochea hisia hiyo. Kuna hali halisi ya Vimelea, ambayo alama yake inasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyobuniwa kwa njia ya kijanja ambayo ni uchawi wa sinema. Uoga unaoonekana wa vimelea hakika utakufanya ufurahishwe na usijisikie mgeni kwa shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji wanavutia sana na huongeza upana wa majukumu yao na kujenga uhusiano wakati wanaonekana kuwa wa kupendeza. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama wakufunzi wa kibinafsi kwa hakika walionyesha kiwango hiki cha mamlaka isiyo na wasiwasi, isiyoeleweka na kuunda hali ya fumbo na mbinu za kufunza zisizosemwa, karibu za kizushi zilizotumika. Kwa urahisi kabisa, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanalazimisha kutazama pande tofauti ambazo Parasite hufuata na hufanya maonyesho haya bila mshono na hivyo kuwaalika watazamaji kuwa upande wao. .

[...]Parasite ni kipande cha ajabu cha utayarishaji wa filamu kwa ustadi mkubwa, ni lazima uone filamu, na kwa hivyo ninatazamia kutazama tena filamu hiyo katika tarehe yake ya kutolewa kwa jumla nchini Uingereza.
Entry #36926 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
1001 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.613.64 (11 ratings)3.58 (12 ratings)


Non-finalist entries

The following entries were not selected by peers to advance to finals-round voting.

Kusema kwamba nilitekwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kama kupuuzia; mtindo wake wa kurekodi na ufuatiliaji wa klipu ni wa kuvutia. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha ya Filamu za Kikorea ya London, nilikuwa na ufahamu kuhusu aina za kawaida za utengenezaji filamu zilizotumika katika filamu kama hizo lakini Parasite ilionekana kuzipita zote! Parasite ni cheshi, kwa njia ya kipekee, pia ni ya kusisimua, kuunganisha makundi mbali mbali ya watazamaji na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya aina zingine za filamu na kwa hivyo inaweza kuwa ya kuvutia kwa umri wote.

Parasite kweli inastahili kutazamwa katika sinema ili kufahamu utofauti wake na sinematografi maridadi. Kwa muhtasari, ili kuepuka utunduzi, Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na ya Kim, isiyo na ajira, ambazo dunia zao tofauti zinagongana na kusababisha matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafanikiwa kuvuta shauku ya hadhira na picha zenye mwangaza mkali pamoja na matumizi bora ya nafasi ya ndani, na inashangaza kutambua, baada ya urefu wa masaa 2 na dakika 12 ya filamu, kwamba matukio mengi yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya unyumba vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Inaonekana kwenda polepole lakini utafurahia uzuri na ustadi wake kwani Parasite inasadikisha kuwa mfumo wake wa uendeshaji ni mmoja tu lakini kwa kweli ina safu nyingi na inaonyesha uhalisia wa kijamii kwa huruma na motisha.

Waigizaji wanakuteka na kukufanya kutazama, kila mwendo na ishara za uso zimeimarishwa, hata kitendo cha kupanda au kushuka ngazi tu kinaweza kutoa maana fiche, inayodhihirishwa na kamera. Viwango vya wasiwasi pia huundwa kwa mujibu wa utumiaji mzuri wa nafasi na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali ya hewa ya kusisimua inayosisitiza hisia hiyo. Kuna asili iliyo kama ndoto kuhusu Parasite, ambayo kiwango chake kinasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya ajabu vilivyoundwa kwa njia ya kiubunifu ambayo kwa kweli maajabu ya sinema. Hakika, kutisha kwa Parasite kunakodhihirishwa wazi kutakuteka na kukufanya usijihisi mgeni katika shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji wanavutia mno na kuongeza upana katika kutekeleza majukumu yao huku wakionekana kuwa wa kufurahisha. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama wakufunzi wa kibinafsi, bila shaka walionyesha kiwango fulani cha mamlaka iliyo shwari, na kujenga muonekano wa kimafumbo na mbinu za kufundisha zisizonenwa, zilitumika. Kwa ufupi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanakulazimu kutazama katika mwelekeo tofauti ambao Parasite hufuata na kuendekeza maonyesho haya bila shida na hivyo kualika hadhira kuwa upande wao.

[...]Parasite ni sehemu utengenezaji wa filamu ya ajabu yenye ustadi mno, ni filamu muhimu kuona, na kwa hivyo ninatazamia kuitazama tena filamu hiyo tarehe yake ya kutolewa nchini Uingereza.
Entry #36583 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.283.46 (13 ratings)3.09 (11 ratings)
Kusema kwamba nililazimishwa na Parasite tangu mwanzoni hadi mwisho ni kudhalalishwa; mtindo wake wa kurekodi filamu na picha za kufuatilia unasisimua. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilifahamu aina za kawaida zinazotumika katika filamu kama hizo lakini Parasite walionekana kuzipinga zote! Vimelea ni vichekesho, kwa njia ya ajabu, pia ni msisimko, mgawanyiko wa tabaka na pia huonyesha hadithi ya familia miongoni mwa aina nyinginezo na kwa hivyo kuna uwezekano wa kuvutia watu wa umri wote.

Prasite kweli inastahili kutazamwa katika sinema ili kufahamu maudhui yake ya sinema maridadi. Kwa muhtasari, ili kuepuka waharibifu, parasite husimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na akina Kim, familia isiyo na kazi, ambayo ulimwengu wao tofauti hugongana na matokeo ya kudumu.

[...]Bong Joon-Ho anafaulu kuibua hamu ya hadhira kwa picha zenye mwanga mwingi pamoja na matumizi bora ya nafasi ya ndani, na inashangaza kutambua, baada ya muda wa saa 2 na dakika 12 wa filamu, matukio mengi kutokea. ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya unyumba vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni kichomaji polepole lakini utafurahishwa na uzuri na ustadi wake kwani Vimelea husadikisha kwamba kinafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini kwa kweli kina tabaka nyingi na kinaonyesha uhalisia wa kijamii kwa huruma na njia.

Waigizaji wanashawishi kutazama, kila harakati za uso na hatua zinasisitizwa, hata kitendo tu cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kuwasilisha maana iliyofichwa, ambayo kamera hugawanyika. Viwango vya kutokuwa na wasiwasi pia hutengenezwa kwa sababu ya matumizi hayo mazuri ya nafasi yenye pembe zisizo za kawaida za kamera na hali mbaya ya hewa inayochochea hisia hiyo. Kuna hali halisi ya Vimelea, ambayo alama yake inasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyobuniwa kwa njia ya kijanja ambayo ni uchawi wa sinema. Uoga unaoonekana kwa cinema ya parasite ni hakika itafanya ufurahishwe na usijisikie mgeni kwa shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji ni wa kuvutia sana na huongeza upana wa majukumu yao na kujenga uhusiano wakati wanaonekana kuwa wa kupendeza. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walipokuwa wakifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama wakufunzi wa kibinafsi kwa hakika walionyesha kiwango hiki cha mamlaka isiyo na wasiwasi, isiyoeleweka na kuunda hali ya fumbo na mbinu za kufunza zisizosemwa, karibu za kizushi zilizotumika. Kwa urahisi kabisa, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanalazimisha kutazama pande tofauti ambazo Parasite hufuata na hufanya maonyesho haya bila mshono na hivyo kuwaalika watazamaji kuwa upande wao. .

[...]Parasite ni kipande cha ajabu cha utengenezaji wa filamu stadi ,ni lazima kwa wote tu kuiona filamu hii ,kwa hio na tazamia kuiona mara nyingine tena filamu hii kwa toleo la UK leo .
Entry #36734 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.273.17 (12 ratings)3.36 (11 ratings)
Kusema kwamba nilivutwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kutosema ukweli; mtindo wake wa uchukuaji wa picha na vipande vya mwendokasi ni kuvutia. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilikuwa na ufahamu wa aina za kawaida zinazotumiwa katika filamu hizo lakini Parasite ilionekana kuzipinga zote! Parasite ni kitu cha kuchekesha, kwa njia ya kipekee, pia ni filamu ya kutisha, inaingia kwenye mizani ya madarasa na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya aina nyingine, na kwa hivyo inaweza kuwavutia watu wa umri wote.

Parasite kwa kweli inastahili kutazamwa sinema ili kuthamini undani wake na ujasiri wa sinema. Kwa muhtasari, ili kuepuka kuvujisha siri, Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim's, familia isiyofanya kazi, ambayo ulimwengu wao tofauti unagongana na matokeo marefu.

[...] Bong Joon-Ho anafanikiwa kuwakosesha usingizi watazamaji na picha zilizoangaziwa vyema na matumizi yenye ufanisi wa nafasi ndani ya nyumba. Ni kushangaza kugundua, baada ya urefu wa saa 2 na dakika 12 za filamu, kwamba sehemu kubwa ya matukio hufanyika ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vitu vya kawaida vya kaya vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia ukiwaonyesha uwezo wa Bong Joon-Ho. Ni kama moto unaochomeka polepole lakini utashangilia uzuri na ubunifu wake huku Parasite ikikushawishi kuwa inafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini kwa kweli ina safu nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa huruma na huzuni.

Waigizaji wanavutia kuangalia, kila harakati ya uso na hatua inaonekana, hata kitendo kidogo cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kus convey maana iliyofichwa, ambayo kamera inagawa. Viwango vya wasiwasi pia vinajengwa kwa kutumia nafasi hiyo yenye ufanisi na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali za hewa za kuvutia zinazopandisha hisia hizo. Kuna hali ya kisirisiri kwa Parasite, ambayo alama yake ya muziki inasisitiza, na zaidi ya hayo, filamu inachukua vipengele vya kipuuzi vilivyotengenezwa kwa njia ya ajabu ambayo ni kweli ni uchawi wa sinema. Uchokozi wa wazi wa Parasite utakuweka macho kwenye skrini na hautahisi kama kitu kigeni kwa shule ya utengenezaji wa filamu ya Twilight Zone.

Waigizaji wanavutia sana na wanatoa upana kwa majukumu yao wakiumba uhusiano wa kufanana na wakionekana kuwa wana mvuto na mtindo wa kuvutia. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walikuwa wanafanya kazi kama walimu wa binafsi ndani ya nyumba ya familia ya Park, kwa hakika walionyesha kiwango hiki cha mamlaka kwa utulivu, wakiumbwa na mbinu za ufundishaji zisemwazo, zenye hadithi, walizotumia. Kwa ufupi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kuangalia kwenye mwelekeo tofauti ambao Parasite inachukua na wanabeba hizo tamasha kwa urahisi, hivyo kualika watazamaji kuwa upande wao.

[...] Parasite ni kipande cha kuvutia cha utengenezaji wa filamu wenye ujuzi sana, ni lazima kuonekana, na kwa hivyo, ninatarajia kuiona tena siku ya kutolewa kwake rasmi nchini Uingereza.
Entry #37388 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.243.27 (11 ratings)3.20 (10 ratings)
Kusema kwamba nilivutwa na Parasite kutoka mwanzo hadi mwisho ni kutopata kueleweka; mtindo wake wa uandishi wa sinema na picha zenye kufuatilia zinanasa. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea wakati wa Tamasha la Filamu la Korea huko London, nilikuwa na ufahamu wa aina kawaida za jamii zinazotumiwa katika filamu hizo, lakini Parasite ilionekana kuzipinga zote! Parasite ni tamthilia, kwa njia ya kichekesho, pia ni mshindo, inakumbatia mgawanyiko wa tabaka na pia inaonyesha hadithi ya familia kati ya jamii nyingine, hivyo huenda ikapendeza watu wa umri wote.

Parasite kwa hakika inastahili kutazamwa sinemani ili kuthamini undani wake na uandishi wa picha wa kuvutia. Kwa muhtasari, ili kuepuka kuvuja kwa hadithi, Parasite inaelezea hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na Kim, familia isiyo na kazi, ambazo ulimwengu wao tofauti unakutana na matokeo ya kudumu.

[...] Bong Joon-Ho anafanikiwa kuchochea hamu ya hadhira na picha zilizojaa mwangaza pamoja na matumizi yenye ufanisi wa nafasi za ndani, na ni kushangaza kugundua, baada ya filamu ya saa 2 na dakika 12, kwamba sehemu kubwa ya matukio hutokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Elementi za kawaida za maisha ya ndani zinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ustadi wa Bong Joon-Ho. Ni mwendo wa pole lakini utajitumbukiza kwenye uzuri na ubunifu wake, huku Parasite ikishawishi kwamba inafanya kazi kwa kiwango kimoja tu lakini ni ya tabaka nyingi na inaonyesha ukweli wa kijamii kwa uchangamfu na huruma.

Wasanii ni wenye kuvutia kutazama, kila mwendo wa uso na hatua unasisitizwa, hata kitendo cha kutembea juu au chini ya ngazi kinaweza kuwasilisha maana iliyofichwa, ambayo kamera inabainisha. Viwango vya kutokuelewana pia vinaundwa kwa kutumia nafasi kwa njia isiyo ya kawaida na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali ya hewa ya kimapenzi, ikiongeza hisia hizo. Kuna hali ya kisasa kwa Parasite, ambayo uchezaji wa muziki unasisitiza, na zaidi ya hayo, filamu inachukua vipengele vya upuuzi vilivyoundwa kwa njia ya kushangaza ambayo ni uchawi wa sinema. Utatanishi unaodhihirika wa Parasite utakufanya kubaki macho na hautaonekana kama kitu kisicho cha filamu za Twilight Zone.

Waigizaji ni wa kuvutia sana na kuongeza upana kwa majukumu yao kwa kuunda uhusiano wakati wanaonekana kuwa wa kupendeza na wenye kujiamini. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walikuwa wanafanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama waalimu binafsi, kwa hakika walifanana na kiwango hiki cha utulivu, mamlaka isiyosisitizwa ikiunda anga ya siri na mafunzo yasiyosemwa, karibu hadithi za kihistoria. Kwa urahisi, waigizaji Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, ni wazuri kutazama katika mwelekeo tofauti ambao Parasite inafuata, na wanachukua hizo utendaji bila kusita hivyo kuwakaribisha watazamaji kuwa upande wao.

[...] Parasite ni kipande cha kutia moyo cha utengenezaji wa sinema uliojaa ustadi, ni filamu lazima itazamwe, na hivyo naatarajia kutazama filamu wakati wa tarehe yake ya kutolewa rasmi nchini Uingereza.
Entry #37334 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.093.00 (12 ratings)3.17 (12 ratings)
Uvutafitiwa na Kuvutia Katika Parasite
Kusema kwamba nilivutiwa na Parasite tangu mwanzo hadi mwisho ni understatement; mtindo wake wa filamu na shots zinazoendana na waigizo ni wa kuvutia sana. Baada ya kutazama filamu kadhaa za Kikorea katika Tamasha la Filamu la Kikorea la London, nilikuwa nimezoea aina za kawaida zinazotumiwa katika filamu hizo lakini Parasite ilionekana kuzipinga zote! Parasite ni ya kuchekesha, kwa njia ya ajabu, pia ni ya kusisimua, inazunguka tofauti za tabaka la jamii na pia inaelezea hadithi ya familia kati ya aina zingine na kwa hiyo inaweza kuvutia watu wa rika zote.

Parasite inastahili kutazamwa katika sinema ili kuthamini uzuri wake na uandishi wa filamu wa kisasa. Kama muhtasari, ili kuepuka uharibifu, Parasite inasimulia hadithi ya mwingiliano kati ya familia ya Park na familia ya Kim, familia isiyo na ajira, ambao ulimwengu wao tofauti unagongana na matokeo ya kudumu.

[...] Bong Joon-Ho anafanikiwa kuvutia hisia za watazamaji kwa shots zenye mwanga mkali pamoja na matumizi bora ya nafasi ya ndani ya nyumba, na inashangaza kugundua, baada ya muda wa filamu wa saa 2 dakika 12, kwamba matukio mengi yanatokea ndani ya nyumba ya familia ya Park. Vipengele vya kawaida vya maisha ya nyumbani vinaonyeshwa kwa mtazamo wa kuvutia unaoonyesha ujuzi wa Bong Joon-Ho. Ni filamu ya polepole lakini utafurahia uzuri wake na ubunifu wakati Parasite inakushawishi kwamba inafanya kazi kwa kiwango kimoja lakini kwa kweli ina tabaka nyingi na inaonyesha uhalisia wa kijamii kwa uelewa na hisia.

Waigizo wanafurahisha kutazama, kila miondoko ya uso na vitendo vinasisitizwa, hata kitendo cha kupanda au kushuka ngazi kinaweza kusambaza maana iliyofichwa, ambayo kamera inavunja. Viwango vya wasiwasi pia vinaundwa na matumizi bora ya nafasi hiyo na pembe za kamera zisizo za kawaida na hali mbaya ya hewa zinazoongeza hisia hiyo. Kuna asili ya kushangaza kwa Parasite, ambayo ala yake inasisitiza, na zaidi ya hayo filamu inachukua vipengele vya mambo yasiyoeleweka vilivyobuniwa kwa njia ya ujanja ambayo ni uchawi wa filamu kweli. Uchawi unaoonekana wa Parasite hakika utakufanya ushikwe na hautaonekana kuwa mgeni kwa shule ya filamu ya Twilight Zone.

Waigizo wana mvuto mkubwa na wanaongeza kina kwa majukumu yao na kuwafanya watazamaji kuwahisi wanapoonekana baridi kwa urahisi. Wakati Ki-Woo na Ki-Jeong Kim walifanya kazi ndani ya nyumba ya familia ya Park kama walimu wa masomo binafsi, walijumuisha kiwango hiki cha mamlaka ya kutojali na ya chini kwa chini na kuunda aura ya fumbo na mbinu za kufundisha ambazo hazijasemwa, ambazo ni za kichawi. Kwa urahisi, waigizo Park So-Dam na Choi Woo-Sik, kama Ki-Woo na Ki-Jeong, wanavutia kutazama katika njia tofauti ambazo Parasite inafuata na wanavizoea maonyesho haya kwa urahisi na hivyo kumwalika mtazamaji kuwa upande wao.

[...] Parasite ni kazi ya ajabu ya uandishi wa filamu wenye ujuzi mkubwa, ni filamu ya lazima kutazama, na kwa hivyo ninatarajia kuitazama tena filamu hiyo kwenye tarehe ya kutolewa kwa ujumla nchini Uingereza.
Entry #37024 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.912.91 (11 ratings)2.91 (11 ratings)